Nirahisi sana:
Sayari ya dunia haiongezeki.
Lakini watu wanazidi kuongezeka.

Hina mahamisha :
Vitu kidogo kwa kila mtu.
Nafasi ndongo kwa manjani ne wanyaua.

Hingawa tuna angahika kulinda hewa, maji, misitu na mishati, watu ndipo wanazidi kumaliza nguru zetu.

Kushindana kupata mahitaji kumeanza, na tatizo kubwa linawekwa pembeni kwa watu wengi na hata wengine kukataa.

Watu wengi wanatosha kuweka kipimo ?

Au hakili nyingi inaweza kujaza tumbo na mifuko na kutoa aina zozote za maisha ??

Tunaweza tukabaki kwenye dunia nyensi ambayo ina umasikini, sumu, ntaa na vifo ??

Njia ni moja tu: kukataza uwongezekaji wa watu wengi !